Chimbo la Viatu
force 1
Tsh 45,000
In the market it's Tsh 50,000
You save: Tsh 5,000
Quantity
Seller
AMOS Jonathan β
WhatsApp
Chat with seller
CLASSIC NEVER DIES! AIR FORCE 1 ZINAPUMUA MJINI! π₯
Je, unatafuta muonekano unaoendana na kila mtoko? Air Force 1 OG zipo hapa kwa ajili yako. Kiatu kigumu, classic, na kisichopitwa na wakati.
Sasa hivi mzigo mpya ndio umeshuka, na habari njema ni kwamba saizi zako zile za kiume na kijanja zipo kamili!
β‘ Size Zinazopatikana: 40, 41, 42, 43, 44, hadi 45!
βͺ Rangi: White on White (Safi kabisa) na nyingine kali za kijanja.
No reviews yet
Be the first to review this product